Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Babu Tale "Siwezi Kumuoa Flavian Matata Acheni Kunipangia"Manager wa Msanii diamondplatnumz na Mbunge Wa Morogoro Vijijini (@babutale) Amefunguka Kuumizwa Na Comments Za Baadhi Ya Watu Kutaka Amuoe Mwanamitindo (@flavianamatata) Na Kusema Kuwa #FLAV Ni Rafiki Yake Na Mtu Ambaye Anamsaidia Sana Hata Jimboni Kwake Na Kuendelea Kusema Kuwa Inamuumiza Kuona Watu Hawataki Kuamini Kuwa Mwanaume Na Mwanamke Wanaweza Kuwa Marafiki.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments