Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Ben Pol Aanza Kufunguka Kuhusu Ukweli wa Ndoa yake na Anerlisa Kuvunjika

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Benpol amesema kwenye ndoa/harusi yake na Anerlisa hakuna ndugu hata mmoja wa upande wa kina Anerlisa ambaye alihudhuria

Ikumbukwe baada ya ndoa hiyo, Benpol alikimbilia mahakamani kuomba ndoa yake hiyo na mrembo huyo wa Kenya ivunjwe kila mtu achukue njia yake Kwa fursa mbalimbali.

Post a Comment

0 Comments