Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Diamond Platinumz Aagiza Lamborghini na Bentley, Magari ya Mabilionea

 


Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan 2021 Moja kati ya gari za ndoto yake ya muda wote Staa wa muziki barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni Lamborghini pamoja na Bentleymotors na hivyo kwa sasa anasubiri kuzipokea nchini.

Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA

Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA

Nafasi za Internships Bonyeza HAPA


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments