Haji Manara Afunguka Baada ya Simba Kushinda.."Acheni Ibilisi Aepukwe Ngoja Tusubiri Mchanga wa Pwani"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Reposted from @hajismanara Kuanzia Siku ya Jumatano hadi leo ndizo siku nilizoongea na simu nyingi zaidi na kwa muda mrefu pengine kuliko Siku zote za maisha yangu..
Lakini WhatsApp na DM ndio ilikuwa balaa, hapo usiniulize SMS na E-mail.

Yes kila mmoja akiniambia lake , kiukweli nimewasikia na kama Binadaam acha tungoje asili ichukue nafasi yake.

Mwenyekiti wa Simba HQ Farouk Baghoza TSN , Mbunge na Mwanachama wetu maarufu Mh @jmakamba , Makamu Mwenyekiti wa Bodi Salim Try Again , ambao tumefanya conference calls nyingi na wote wengine nimewaelewa.

Sitaongea lolote Kwa sasa nikiamini katika maslahi makubwa ya Simba, team ya maisha yangu.

Captain wangu @john_22_bocco always naamini ktk ww linapokuja Nahodha wa mfano, tuliongea nikiwa ktk bad mood lakini nasaha zako na Kwa heshma ya jana ninakataaje Kwa mfano kukusikiliza?

Washabiki wote wa Simba na Waandishi mliokuwa na hami na press yangu Am Sorry , acheni Ibilisi aepukwe ngoja tusubiri mchanga wa Pwani.

Kimsingi nimemaliza sina lingine ila walioumia Kwa ajili ya Simba ,again poleni na Samahani.

Kwa wale akina sie niwaambie ndoo ya maji haijazwi upepo

Af'wan 🙏
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad