.

7/28/2021

Haji Manara na Simba Basi Tena...Hii Hapa Barua ya Simba WakimuagaBodi ya wakurugenzi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, kwa kauli moja, imeridhia matakwa ya Haji Manaa ya kutokuendelea kuhudumu katika nafasi ya Msemajiwa Klabu. Bodi inamshukuru kwa maneno aliyotumia kuwaaga wana Simba.

Klabu ya Smba imemteua, Ezekiel Kamwaga kuwa Kaimu Mkuu wa Idaa ya Habai na Mawasiliano ya Klabu kwa kipindi cha miezi miwili.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger