Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Jerry Muro Azua Jambo, Azuia Mijadala ya Katiba Jimboni Mwake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMkuu wa Wilaya ya Ikungi,Jerry Muro amesema Wilaya yake inahitaji huduma bora sio #Katiba Mpya

Amepiga marufuku mijadala ya Katiba kwa wananchi wa Wilaya hiyo wala kusanyiko linalohamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara

Post a Comment

0 Comments