Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Jibu la Ali Kiba Baada ya Kuulizwa Kama Ataongeza Wasanii Wengine Kings Music


Hili ndio jibu la @officialalikiba baada ya kuulizwa kuhusu mpango wa kuongeza wasanii kwenye label ya King's Music mara baada ya kuondoka wasanii wawili; Killy na Cheed.

"Sio kila mtu anakuja King's, hatutafuti na hatuhitaji. Tukikupata tutakuchukua. Tukiona unafaa tutakuchua." @officialalikiba

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments