Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kama Ulikuwa Huna Habari Hii Ndio BEI ya Gari Aina ya Rolls Royce Alilonunua Diamond Platnumz


Staa wa Muziki Barani Afrika na CEO wa #WasafiMedia, SIMBA @diamondplatnumz ameamua kuvuta Ndinga ya ndoto yake Rolls Royce Cullinan SUV ya Mwaka 2021 .

Gari hiyo yenye thamani zaidi ya Dola Za Kimarekani 650,000 (Tsh . Bilioni 1.5 kabla ya Ushuru ) , imepokelewa Leo Kutoka Bandarini na Staa huyo baada ya kuiagiza tangu Mwezi uliopita .

Diamond alishawahi kuweka wazi muda mrefu kuwa Gari ya ndoto zake ni @rollsroycecars , hivyo sasa anaweza kulala usingizi Mnono kwasababu ametimiza moja ya ndoto zake 


Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA

Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA

Nafasi za Internships Bonyeza HAPA

Hii inakua Gari ya 3 ya kifahari kwa @diamondplatnumz kununua ndani ya Kipindi cha Miezi Miwili baada ya Kuvuta Cadillac Escalades mbili Wiki kadhaa zilizopita !

Big Congratulations kwa SIMBA !

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments