Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kauli ya Paula Baada ya Kajala Kufuta Tattoo ya Harmonize "Tunatoa Uhafu"

 


Mchora tattoo The Lion Ink ambaye ameifuta tattoo ya yenye jina la Harmonize 'H' kwenye shingo ya Kajala na kuweka mchoro wa Uaridi amesema wakati tukio hilo linaendela Paula alitoa kauli inayosema 'tunatoa uchafu'.

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, The Lion Ink amesema Kajala alimwambia kwamba penzi lake na Harmonize lilienda haraka haraka hivyo mambo mengine alikuwa anashangaa tayari yameshafanyika.

"Ile kauli ya tunatoa uchafu ilitoka kwa Paulah, wakati anarekodi clip mimi na Kajala tulikuwa hatujui kinachoendelea, kwa mimi nilivyoelewa ile tattoo ni kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana kwa hiyo kwake hata ile H aliona kama takataka ndiyo maana nikaitoa ile H nikaweka tattoo ya Uaridi" ameeleza The Lion Ink 


 Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA


Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA

Mengine zaidi aliyoyazungumza mchora tattoo huyo wakati anafuta tatoo ya H kwa Kajala tazama hapo chini kwenye video.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments