Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kimenuka Huko...Meneja wa Diamond Platnumz Mkubwa FELLA Ataka Mwijaku Akaguliwe Uraia

 


Meneja wa Diamond, Mkubwa Fella akiongea na WasafiTV amemtishia Mwijaku kumkagua Uraia wake kutokana na Kitendo chake cha kushangilia baada ya Diamond kushindwa kwenye Tuzo za BET akidai Mwijaku ameonyesha Chuki na sio Ushabiki

Fella, amesema Watanzania hawana Roho ya Chuki, watu wenye Chuki kama ile wanatakiwa wakaguliwe Uraia wao ili kuwajua kama ni Watanzania au Wakimbizi.

Aidha, Fella amedai ana Kazi nyingine tofauti na Kazi ya Udiwani na Muziki, amedai anafanya Kazi nyingi sana za Siri alizopewa na Serikali lakini hataki tu kuziweka wazi ili Kulinda Amani Nchi.

Tazama ROSA REE Akiteswa na SHETANI Hapa Chini:


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments