AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
@zarithebosslady amewatolea uvivu haters wote wanaopitapita kwenye page yake na kuacha comments ndefu alafu negative.
Zari amedai kama ni hater na unapita kwa page yake kucomment ushubwada basi ni block ndiyo zawadi yako😂, anakwambia unatumia muda mwingi kutype alafu yeye anaishia kuidelete tu.
Kwani nani anaandika taarifa za habari kwenye post za @zarithebosslady
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK