Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Linah, Harmonize Kimeumana: Sikupendi, Nakuchukia

LIHAH hataki utani! Baada ya kuona Harmonize anataka kumletea mazoea na ‘kiziingiza’ za chinichini, ferrousasta kamuwahi na kumchana hadharani kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kumwambia hamtaki na akome kumfuatilia.


Kwenye posti hiyo aliyoweka picha ya Harmonize na kusindikiza na ujumbe, Linah amemchana staa huyo wa Sandakalawe kuwa ameharibu familia ya mwenzake (bila shaka amemaanisha Kajala na Paula) halafu anataka kumharibia na yeye kwa kujisogeza kwenye himaya yake.


Kajala ali-like picha hiyo yeye pamoja na wananzengo wengine 6960 kabla Linah hajaifuta maana ilikuwa na maneno makali huwenda alihofia pia kuingia kwenye mikono ya sheria.

Credits:

@erick.evarist

@hotpot_tz


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments