Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mahakama Kuu Yatengua Udiwani wa Ezekiel Mshindo Baada ya Kubainika sio Raia wa Tanzania

 


Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma imekubaliana na uamuzi wa kutengua Udiwani wa Ezekiel Mshindo kwa hoja kwamba hana sifa ya kushika nafasi hiyo kwa kuwa si raia wa Tanzania

Ezekiel (CCM) alikuwa Diwani wa Kata ya Kagera - Nkanda huko Kasulu na alishinda nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka 2020 lakini Aprili 14, 2021, Katibu Mkuu wa TAMISEMI alimfahamisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kasulu kuwa Ezekiel si raia

Uamuzi wa kuondolewa katika Udiwa umekubaliwa na Jaji Athumani Matuma wa Mahakama Kuu baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments