Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Moo Dewji Akubali Yaishe Ipongeza Yanga Kwa Kusema Haya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


 Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc @moodewji amewapongeza Watani wao wa jadi @yangasc baada ya kuwafunga Simba Sc Bao 1-0 katika dimba la Mkapa jijini Dar Es Salaam


Duh! hongera Mtani! Ndio mpira. ilikuwa sio riziki yetu. poleni wanasimba. Naami nimeumia sana  

#ChukuaHii Klabu ya @yangasc imekuwa timu ya kwanza duniani kuifunga @simbasctanzania katika mechi ya kwanza iliyoshuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwenye historia ya kipekee Tanzania na Afrika Mashariki kuwa Rais wa kwanza mwanamke

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments