Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Msajili wa Vyama Vya Siasa ataka Chadema Waeleze Sababu ya Kuwafukuza Kina Mdee
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, ameitaka CHADEMA kutoa maelezo ya kina kwanini iliwafukuza Wanachama wake 19 ambao ni Wabunge wa Viti Maalum

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Benson Kigaila, amesema wamepokea barua kutoka kwa Msajili baada ya Wabunge 19 wa Viti Maalum kutoa malalamiko

Amesema hawawezi kutoa maelezo kwa Jaji Mutungi kwakuwa ni kinyume cha utaratibu wa Chama

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments