.

7/29/2021

Mtoto wa Masoud Kipanya Apumzishwa Katika Nyumba yake ya MileleKutoka Makaburi ya Kisuti DSM shughuli ya maziko wa mwili wa mtoto wa Masoud Kipanya, Malcom Kipanya makaburi ya Kisutu Dar es salaam.

Katika mazishi haya yamehudhuriwa na watu mbali mbali wakiwemo CEO wa GSM Ghalib Said Mohamed, Mwigizaji Steve Nyerere, Msanii Ommy Dimpoz, Mtangazaji Millard Ayo, Wafanyakazi wa Clouds Media na wengine. #RIP MALCOM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger