.

7/26/2021

Mukoko Apiga Magoti Yanga..Awaomba Radhi Mashabiki na Viongozi wa Yanga
Kupitia Instagram yake ameandika kuwa:

“Nachukuwa fursa hii kuomba radhi mashabiki pamoja na viongozi na benchi la ufundi kwa kilicho tokea katika mchezo Wa final wa yanga vs simba. Kwamba sijakusudia kupewa kadi nyekundu ambayo labda ndo ilikuwa sababu yakupoteza mchezo huo. Naipenda sana team yangu yanga DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💚🧡
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger