Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mume wa Shilole afunguka kuhusu mke wa Pili 
Mume wa msanii na mfanyabiashara Shilole Rommy 3D amefunguka kuhusu uwezekano wa kuongeza kuoa mke wapili kwa kusema hawezi kufanya hivyo kwa sababu ana mwanamke ambaye yupo full package.


Picha ya Rommy 3D na Shilole
Akiiambia EATV & EA Radio Digital, Rommy anasema unapooa mke wa pili ina maana yake mke wa kwanza ana mapungufu japo akiamua kuoa ataoa kwa sababu dini yake ya kiislam inamruhusu hata wanawake wanne.

"Nina mwanamke ambaye yupo full package mzuri na mpambanaji, unajua unapooa mke wa pili ina maana mke wa kwanza atakuwa na mapungufu mawili matatu, sio kama namuogopa nikiamua kuoa naoa tu watoto wa kiislam sisi tumeruhusiwa hadi wanawake wanne lakini ukimpata anayekamilika huna haja ya kuoa tena" ameeleza Rommy

Mengine aliyoyazungumza Rommy kuhusu ndoa yake na Shilole tazama hapo chini kwenye video.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments