.

7/26/2021

Mwigulu "Wafanyabiashara Msikimbie Nchi Kero zenu Tunazifanyia kazi"Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Wafanyabiashara waliokimbilia Nakonde nchini Zambia warejee nchini malalamiko yao yatafanyiwa kazi

Kwa maelezo ya Wafanyabiashara ni kuwa wamehamia Zambia kwa kuwa kuna unafuu wa kodi kuliko Tunduma nchini Tanzania

Dkt. Nchemba ameitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wakazi wa Tunduma wakiwemo Wafanyabiashara


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger