Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mwijaku Afunguka Haya Baada ya Mondi Kuvuta Rolls Royce "Gari Haikupi Akheraa"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Twitter Wa @mwijaku Ameandika.....''Nguvu unazo tumia ungeielekeza kwenye ibada na kumnyenyekea Mungu . Ungekua katika daraja zuri . Ila dunia inakuhadaaa na unajisahau . Tusubirie tuone kama hilo gari litakupa msaada wowote akheraa ..! #PepoSioKwapa #RudiKwaAllah #AchaKuvaaMsalaba ''

Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA

Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPAPost a Comment

0 Comments