Ndege tumezipata kwa jasho na damu- Rais Samia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amelitaka Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), kuzitunza ndege zinazonunuliwa na serikali kwa kuhakikisha linadhibiti hujuma kwa ndege hizo ili ziweze kuleta tija.

Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Julai 30, 2021, wakati wa mapokezi ya ndege mpya aina ya Bombadier Dash 8 - Q400, ikiwa ni ndege ya 9 kati ya ndege 11 zilizonunuliwa na serikali.

"Wito wangu kwenu Ndege hizi tumezipata kwa jasho na damu, nataka niwaombe watumishi wa shirika kuwa makini katika utunzaji na uhudumiaji wa ndege hizi tunazozinunua, kiufupi kudhibiti vitendo vya hujuma kwa ndege zetu zikitunzwa zitakaa kwa muda mrefu na kuleta tija iliyokusudiwa," amesema Rais Samia.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad