.

7/30/2021

PICHA :Rais Samia alivyoipokea Ndege mpya Airport DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo July 30, 2021 amepokea ndege mpya aina ya Bombadier Dash 8 – Q400 katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 Jijini Dar es Salaam.


Millardayo.com imekusogezea picha 13 ushuhudie tukio hilo lilivyokuwa Airport DSM pamoja na muonekano wa ndege hiyo mpyaHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger