.

7/28/2021

PICHA: Waziri Mkuu naye apata Chanjo ya coronaWaziri Mkuu wa Jmhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa naye amepata chanjo ya Covid-19, Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo Julai 28, 2021  

"Nipo tayari kuchanjwa leo ili kumuunga mkono Rais Samia na kuwaonesha Watanzania kuwa chanjo za Covid 19 zinazotolewa ni salama".

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger