Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Queen Darleen Afunguka Kuhusu Kuwachapa Viboko Diamond Platnumz na Romy Jones

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREQueen Darleen Anasema alilazimika kuwachapa Viboko @diamondplatnumz na @romyjons pale ambapo walikuwa wanajishugulisha na Muziki Darleen anadai alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa hataki wadogo zake aharibikiwe kwasababu kipindi hicho muziki uliaminika ni uhuni .

Post a Comment

0 Comments