Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Sallam Sk "Kuna Watu Mtaani Wanapata Ajira Huko Mtaani Kumtukana Diamond Platnumz"


Kuhusu baadhi ya Watu kumpinga Diamond Platnumz kipindi cha Tuzo za BET !

" Diamond Platnumz akizungumziwa watu wanapata ajira, hivyo wanaomchukia acha tu wajifurahishe kwasababu kuna wengine wanalipwa fedha nyingi tu huko mtaani kumtakuana na kukosoa kila kitu cha Mondi kufa.

Sisi hilo halitushtui hata kidogo kwani Wanaomchukia ni wachache ila wanaompenda ni wengi " - Sallam_sk


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments