.

7/30/2021

TAARIFA KWA UMMA - ORODHA YA VITUO VYA KUTOLEA CHANJO YA UVIKO-19 KATIKA MIKOA YOTE NCHINI TANZANIA


Dar esa salaam. Baada ya taasisi tano zilizo chini ya wizara ya afya kufanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa chanjo za Johnson & Johnson ni salama kutumika kwa Watanzania, zimeanza kusafirishwa mchana huu katika mikoa 26 kwa ajili ya makundi matatu yaliyopewa kipaumbele wakiwemo watoa huduma za afya, wazee na wenye magonjwa sugu.


BONYEZA HAPA KUJUA VITUO VITAKAVYOTOA CHANJO YA UVIKO-19 NCHINI

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger