Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Taarifa za serikali ziwe za siri, zisionekane kwenye mitandao

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametaka taarifa za Serikali ziwe za siri na sio kama ilivyo sasa ambapo Barua za Ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni hasa WhatsApp na Instagram
Amesema Siri ndio Uhai wa Serikali huku akiwataka Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala pale ambapo itawasilishwa mada kuhusu usiri kwa Taarifa za Serikali wawe makini kusikiliza

Waziri Mkuu ameeleza hayo Jumatano Juni 30, 2021 katika Mkutano wa Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Tanzania Bara


Post a Comment

0 Comments