.

7/30/2021

Tanzia: Babu wa Loliondo Afariki DuniaAmbilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Digodigo

Babu wa Loliondo inadaiwa aliugua muda mrefu na akawa akijitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali leo saa sita alikuwa amechelewa, akafariki saa nane

Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger