Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Tanzia: Mtangazaji Gadner G Habash Afiwa na Mama yakeReposted from @udakutz_ GADNER AFIWA NA MAMA YAKE _ Mtangazaji wa Traffic Jamz ya CloudsFM Gardner G. Habash amefiwa na Mama yake Mzazi. Gardner alitumia Instagram yake kuthibitisha taarifa hizo kwa kuandika ——— “Asante Mama yangu Mama Habash kwa kunileta Duniani, Asante Mungu kwa kumleta Mama yangu duniani, nakuomba Mola wangu umepokee kwa mapenzi yako” “Nakuomba Mola umpumzishe kwa amani, kwaheri Mama Habash, kwaheri Mama yangu, kwa kudra za Mungu upumzike kwa Amani, Bwana ametoa bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe” ——— @CaptainTanzania #RIPMamaHabash #RIPMamayetu 🙏🏿
Mtangazaji wa Traffic Jamz ya CloudsFM Gardner G. Habash amefiwa na Mama yake Mzazi.

Gardner alitumia Instagram yake kuthibitisha taarifa hizo kwa kuandika ——— “Asante Mama yangu Mama Habash kwa kunileta Duniani, Asante Mungu kwa kumleta Mama yangu duniani, nakuomba Mola wangu umepokee kwa mapenzi yako”

“Nakuomba Mola umpumzishe kwa amani, kwaheri Mama Habash, kwaheri Mama yangu, kwa kudra za Mungu upumzike kwa Amani, Bwana ametoa bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe” ——— @CaptainTanzania #RIPMamaHabash #RIPMamayetu 🙏🏿

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments