.

7/24/2021

Tetesi... Miquissone Anaelekea Al AhlyMitandao ya soka nchini Misri imeripoti kuwa klabu ya Al Ahly imefikia makubaliano na Simba juu ya uhamisho wa nyota wao raia wa Msumbiji, Luis Miquissone.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Simba imeridhia kumuuza Miquissone kwa Al Ahly kwa kitita cha Sh Bilioni 1.3.

Inadaiwa huenda Al Ahly katika dili hilo ikamtoa mshambuliaji wake Walter Bwalya kuja Msimbazi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger