Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Tozo zote za Kuendesha Chaneli za YouTube au Blog Kufutwa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema watafuta Tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana Vijana kujiajiri kwa kuendesha Chaneli za YouTube au Blog

Amesema Vijana walikuwa wanapata shida kutokana na Kodi na Tozo zilizowekwa. Ameeleza hayo katika Uzinduzi wa Tovuti na Mpango Mkakati wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa miaka mitano, 2021/22 hadi 2025/26


Post a Comment

0 Comments