Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Tujikumbushe: Juni 2016 Zungu Aliishauri Serikali Kuongeza TOZO Katika Miamala ya Simu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMbunge wa Ilala, Azzan Zungu amenukuliwa mara mbili akiwa bungeni akiishauri Serikali kuweka tozo kwenye miamala ya simu

Juni 14, 2016 aliongea haya Bungeni:

Miamala ya simu ni mikubwa hadi kufikia Tsh. Trilioni 50 kwa mwaka hivyo ni vyema kuwa na kodi ya uzalendo


Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA

Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA

Nafasi za Internships Bonyeza HAPA


Waheshimiwa Wabunge tusiwe na tabia ya kizamani ya kuona tukilipa kodi watu wanaumia, bila kodi Serikali hii haichapishi noti

…kodi hii naiunga mkono, Serikali iendelee na kodi zingine na kukamata mapato kwenye simu, we are losing a lot of revenue kwenye maeneo haya

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments