Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Tume yaundwa kuchunguza chanzo cha moto KariakooKufuatia kuungua moto Soko la kimatiafa la Kariakoo Jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, Serikali imeunda tume kuchunguza chanzo cha moto huo ulioteketeza maduka zaidi ya mia nne yalioko katika jengo la Soko hilo maarufu.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments