Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Wanariadha Wawili Watolewa Kushiriki Mashindano ya Olimpiki Wanawake Kisa Homoni Nyingi za Kiume


Wanariadha wa Namibia, Christine Mboma na Beatrice Masilingi wameondolewa katika mashindani ya mbio za Olimpiki za wanawake kutokana na kuwa na homoni nyingi za kiume .

Wanariadha hao wamezaliwa wanawake na wanajinsia ya kike kwa kuzaliwa lakini wanahomoni za kiume kitu ambacho kitaalamu ni kitu cha kawaida mtu kuwa na "differences of sex development" .

Wanariadha hao walikuwa wanataka kushindana katika mbio za Mita 400 .

Je, kwa Maoni yako unadhani maamuzi Haya ni sahihi ?

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments