Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Watu kadhaa wakamatwa kufuatia mauaji ya Rais wa HaitiMaafisa wa serikali ya Haiti wamewaomba wananchi kuwa watulivu wakati wanaendelea na uchunguzi kufuatia mauaji ya Rais wa nchi hiyo, Jovenel Moïse, huku kundi la washukiwa 28 kati yao ishirini wamekamatwa.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments