.

7/30/2021

Wayne Rooney Aomba Radhi Baada ya Picha zake Akiwa na Wasichana Walio nusu Uchi KuvujaMchezaji wa zamani wa Uingereza na Manchester United, Wayne Rooney ameomba radhi kwa familia, mke wake Coleen klabu ya Derby County na jamii kwa ujumla kufuatia kusambaa kwenye mitandao ya kijamii picha zake ambazo zinamuuonesha akiwa hotelini amelala kwenye kiti huku akizungukwa na wasichana watatu wengine wakiwa na nguo ya ndani pekee.Rooney ambaye ni baba wa watoto wanne na mke wake Coleen (35) aliamua kulipeleka mbele sakata hilo, huku akiwalipa wasichana hao paundi milioni 1 akinunua haki miliki ya picha hizo baada ya kuwatuhumu kwa kumsaliti na kuwataka wamuombe msamaha.

Akizungumza na Sky Sports News baada ya mchezo wa kirafiki baina ya Derby dhidi ya Real Betis siku ya Jumatano, Rooney amesema alifanya makosa.

Model Tayler Ryan pictured with ex-England football ace Rooney while they were partying in Manchester on Saturday night

”Nilikwenda kwenye ‘private party’ nikiwa na marafiki zangu wawili, ningependa kuomba radhi kwa familia yangu na klabu kwa picha zilizokuwa zikisambaa.”

”Ninafuraha kwa Derby County kunipatia nafasi hii kuirudisha klabu hii kule ilikokuwa awali, nitafanya kila lililondaniya uwezo wangu kuhakikisha nafanikkisha hilo.”

Imeandikwa na Hamza Fumo Instagram @fumo255


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger