Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Waziri Mkuu awasili Burundi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amewasili nchini Burundi leo Julai 1,2021, na atakua humo kwa ziara ya siku moja.Mh.Majaliwa amepokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, wakati alipowasili  kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura.

Post a Comment

0 Comments