.

8/09/2021

ABBY Ametolea Ufafanuzi Wa Tetesi za Kusainiwa Lebo Mpya ya Rayvanny


Baada Ya Kuwepo Tetesi Mitandaoni Zikisema Kuwa Huenda Msanii @abby_chams Akawa Amesain Katika Label Ya #NLM Ya Msanii @rayvanny , #ABBY Ametolea Ufafanuzi Wa Tetesi Hizo Na Kusema Kuwa Sio Kweli Bali Ni Wimbo Ndio Amefanya Na Msanii Huyo.

Kupitia #Mgahawa Ya Wasafi Fm #ABBY Amesema........."Picha Zilizosambaa Mitandaoni Nilikuwa Studio Kwa #RAYVANNY Nimerekodi Wimbo Nae Ambayo Naamini Utatoka Siku Za Hivi Karibuni''


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger