.

8/13/2021

Afisa Habari wa Simba Athibitisha Kuuzwa Kwa Chama


Kaimu Afisa Habari wa Simba Sports Club Ezekiel Kamwaga Athibitisha Kuuzwa Kwa Chama.

NI kweli kwamba nyota wetu mahiri, Clatous Chama amejiunga na timu ya RS Berkane ya Morocco na sisi kama uongozi tumeridhia kwa kuzingatia maslahi mapana ya mchezaji pamoja na klabu yetu ya Simba.

Na pia Fedha tulizopata kwa kumuuza Chama ni kubwa mno na tutazitumia kuboresha kikosi chetu.
#NguvuMoja
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger