.

8/20/2021

Alberto Msando Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Ajali "Bwana Ameniokoa Kutoka Kwenye Mauti"Nilimwita Bwana nae akaitika. Kwa haraka. Mbele ya macho yangu akajifunua na kuniokoa kutoka kwenye mauti. Kwa sababu ya huruma yake kuu amenipa kibali niendelee kuishi. Kwa upendeleo wa kipekee ametaka niwe shuhuda wa uwezo wake mkuu. Analo kusudio lake. Namshukuru Mungu na kumsifu kwa kila jambo. Hata wakati wa giza upendo, huruma na uzuri wake haujawahi kutetereka. Amenibariki na kunilinda. Ahsante Mungu. πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ AGM 19.08.2021. #JinaLaBwanaLihimidiwe #JinaLakeLitukuzwe #AhsanteniWoteKwaDuaNaMaombi πŸ™πŸΏ
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger