.

8/08/2021

Ally Mayai Tembele Amshukia Chama Sakata la Mo Dewji na Haji Manara "Ulitakiwa Kusoma Alama za Ntakati"


Nguli wa Zamani wa Soka na Mchambuzi Mahiri wa Maswala ya Mpira wa Miguu , Ally Mayai Tembele, amesema kwamba Mchezaji @realclatouschama alitakiwa asome alama za nyakati kabla ya kuongea aliyoyaongea kupitia Instagram Live (Kumsifia Haji Manara )siku Moja iliyopita .

Ally Mayai anadai kuwa tayari kulikua na Kutoelewana baina ya Manara na Mo Dewji, hivyo Chama kama Mchezaji hakutakiwa kuongelea swala hilo kwa kupindi hiki ambacho bado kuna Vuguvugu .

Je, unakubaliana nae Katika hili ?

 Read More: Nafasi za Ajira Serikalini na Mashiriki Binafsi Nimekuwekea Hapa  

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger