.

8/31/2021

"Manara Aluwekwa Jela Sababu ya Mo Dewji, Nikamuuliza Unapata Faida Gani " Baba wa Haji Manara"Kuna wakati Haji aliwekwa ndani kwa ajili ya kumtetea Mo kama mnakumbuka, baada ya kutoka mimi nikamuuliza unapata faida gani?" "Tangu zamani Haji amekuwa anatukanwa peke yake mitandaoni kwa ajili ya Simba lakini amekuwa akinyanyasika sana, sisemi kwamba hajapata faida lakini amehangaika sana mwenyewe" - Mzee Sunday Manara.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger