.

8/05/2021

Amnesty International yashinikiza serikali ya Tanzania kumtendea haki MboweShirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty Jumatano limesema kwamba mamlaka za Tanzania lazima zitoe mara moja ushahidi wa kuthibitisha mashtaka dhidi ya kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe, au wamwachilie huru, ikiwa siku moja tu kabla ya kufikishwa kwenye mahakama ya Dar es Salaam.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger