.

8/16/2021

Aunty Ezekiel Atema Nyongo "Kuvalishwa Pete Jack Wolper Hata Mara 10 Haiwahusu"Mwigizaji wa Bongo movie @auntyezekiel amewataka watu kuacha kuingilia mapenzi ya watu hii ni baada ya jana muigizaji mwenzie na mwanamitindo pia @wolperstylish kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake @richmitindo .

Maoni ya waja ni kuhusu machozi ya Wolper na idadi ya pete alizovishwa hadi sasa.huku wakiamini uwenda hata hilo tukio yeye ndiye kapanga.

Hasa Aunty Ezekiel amewataka watu kuacha kuzungumzia mapenzi ya watu hata kama kavishwa pete 10 ni yeye ili mradi kaona sehemu alipo si sahihi na kadai wanaozungumzia hayo ni akina Khadija,Amina na mwajuma ambao hawajui chochote.

Aunty ameongeza kuwa wanachofikiria ni kuwa msanii awe na mtu mmoja pekee wakati wao wamebadili mabwa hata kumi,cha msingi Jack hasisikilize maneno ya wakosaji.

Akina mwajuma mpooo?🤣🙌

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger