.

8/21/2021

Babu Tale Amchokoza Mwakinyo..Ataka Wapambane na Kiduku Atatoa V8


AMEANDIKA Mh BABUTALE.

Wapeni salaam Morogoro ndio mkoa pekee unaobeba magari yenu yooote ya Dar.. Tanga eeeh kubalini basi tumalize hili jambo,naweka V8 ya mwaka 2020... Oya @mwanafa mjuze mwanao basi. Asante @twaha_kiduku umetuheshimisha wana Morogoro
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger