.

8/17/2021

Billnass Aomba X Wake Kutomwingiza Mtoto wake Mchanga Kwenye Ugomvi Wao
Maswali mengi yameibuka upya kuhusu hatma ya mahusiano ya mastaa wetu @billnass na @officialnandy baada tu ya hivi karibuni Nenga kupost Picha akiwa amemshika mtoto mchanga, haikuishia hapo Nenga akapost picha nyingine pia akiwa kamshika mtoto na ikiwa ni siku ya arobaini yake.

Baada ya Nenga kupost picha ya mtoto na ikiaminika ni siku ya arobaini ya malaika huyo,saa moja mbele ,Nandy alipost picha yenye caption "YUDA" ikiaminika ni meseji kwenda kwa Nenga.

Nenga ameona isiwe kesi katumia Insta Story yake kumuomba X wake kutomuhusisha kabisa mtoto kwenye vita yao maana bado ni malaika akidai wao si wa kwanza kuachana👇

"PENZI LETU SISI SIO LA KWANZA KWISHA,UGOMVI WETU YE HAJUI CHANZO WALA KISA,YE NI MALAIKA USIMUWEKE KWENYE VITAđź’””-Nenga.

Maswali meng kwa waja ni kuhusu mtoto anayempost Nenga ni wa nani?,na kama ni wa Nenga, vipi hatma ya mahusiano yake na African Princess? Lakini viashiria ni vingi vinaonyesha watu hawa walishaachana ingawa wao hawataki kuweka


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger