.

8/30/2021

Breaking News: Kanye West Awashutumu Universal Kuachia Album yake Bila Idhini yakeBaada ya album ya DONDA kutoka,mmiliki wa album hiyo, Kanye West amefunguka kuwa Album yake ya DONDA imeachiwa na kampuni ya Universal Music bila idhini yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram @kanyewest amewatuhumu Universal kuachia album hiyo wakati hajatoa baraka zake za mwisho na hii inatokana na wimbo wa Jail 2 kutowekwa kwenye album.

Inaonekana wajomba walichoka kupigwa danadana,Mitandaoni kuna utani unaendelea kuwa Drake kainunua Universal na yupo nyuma ya huu mchongo🤣

Follow @sajomedia kwa taarifa za burudani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger