.

8/08/2021

Diamond Kwenye Billboard TenaKWA mara nyingine, supastaa wa muziki barani Afrika, Nassib Abdul al-maarufu Diamond Platnumz ameonekana kwenye makala iliyopakiwa katika Mtandao wa billboard inayopatikana kwenye jarida la Billboard la Agosti 7, mwaka huu ambalo kwenye ukurasa wa kwanza limepambwa na picha ya staa wa muziki wa Marekani.

 

Makala hiyo yenye kichwa kinachosomeka; “How Diamond platnumz became Tanzania’s biggest star” inaelezea safari ya mafanikio ya diamondplatnumz kuanzia anaanza muziki mpaka sasa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger