.

8/06/2021

Diamond Platnumz Aandika Haya kwa Uchungu Baada ya Mtangazaji Maulid Kitenge Kujiondoa Wasafi FM
Reposted from @diamondplatnumz kwanza kabisa nikushukuru kwa mchango wako mkubwa Katika taasisi ya Wasafi Media, kwa kuwa nasi bega kwa bega kuanzia Media changa mpaka leo imekuwa Media Nambari Moja Nchini katika kila report....Hakika haikuwa rahisi,  shukran sana na sasa nina Amani ukirudi nyumbani..Mbali ya ushiriki wako kwenye Media, siku zote umekuwa ni kama kaka ama Uncle kwangu...na ninakuahidi kwenda kwa kasi ileile ambayo siku zote umenisihi kuifanya, ili kutimiza Malengo ya WASAFI MEDIA kuwa chombo kikubwa cha Habari Africa na kuzidi kulipa Heshima Taifa letu katika nyanja ya Habari...๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @mauldikitenge #KochaMchezaji #Kwaheri #Icon #Chumvi #Jembe ๐Ÿ’ช๐Ÿผ  
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger