.

8/09/2021

Exclusive:Ukweli Kuhusu Waliofumaniwa na Kupigwa Wasimulia “Hatuachani” (Video)

 


Siku chache zilizopita ilisambaa video Mitandaoni ikionesha Mwanaume na Mwanamke wakiwa wanapigwa kwa madai ya kwamba wamefumaniwa, video hii ilimuibua Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ambaye aliagiza waliowafanyia kitendo hicho wakamatwe na akapiga marufuku matukio ya kupangwa ya fumanizi hasa kwa Watu ambao hawana vyeti vya ndoa.

Sasa Ayo TV na millardayo.com imefika hadi Mtaa wa Matumbini B, Temeke Dar es salaam ambako Wawili hao (Anitha Laurian na Rashid Kawanjwe) wanaishi na kuzungumza nao kwa urefu kuhusu tukio hilo, tumezungumza pia na Mashuhuda pamoja na Viongozi wa Serikali wa eneo hilo.



HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger